Dodoma FM

lugha ya alama

20 July 2022, 2:00 pm

Athari za vilevi kwa wanawake wajawazi

Na; Benard Filbert. Matumizi ya vilevi kwa wanawake wajawazito imetajwa kuwa na athari kubwa ikiwepo kujifungua mtoto mwenye mgongo wazi. Hayo yanajiri kutokana na  baadhi ya watoto wanaokutwa na tatizo la mgongo wazi kutajwa kusababishwa na mama zao kutumia vilezi…