Dodoma FM

lishe

21 November 2025, 1:02 pm

Wataalamu wasisitiza umuhimu wa lishe bora kwa watoto

Wiki ya Lishe inasisitiza kuwa jukumu la kuhakikisha watoto wanapata lishe bora ni la jamii nzima—kuanzia wazazi, walezi hadi taasisi za malezi ya watoto. Na Anwary Shaban.Wiki ya Lishe imeendelea kuadhimishwa nchini, huku wataalam wakisisitiza umuhimu wa lishe bora kwa…

10 October 2025, 3:16 pm

Ulaji wa mayai unavyoimarisha afya, lishe bora

Kupitia siku hii, jamii inatakiwa kutambua umuhimu wa mayai, kwani kupitia ulaji wa mayai, familia zinaweza kupunguza utapiamlo na kuimarisha afya za watoto. Na Anwary Shaban. Siku hii, inayoadhimishwa kila mwaka mwezi Oktoba, inalenga kuongeza uelewa kuhusu nafasi ya yai…

1 October 2025, 4:00 pm

Lishe bora kwa watoto izingatiwe kupunguza udumavu

Pichani ni baadhi ya wananchi waliojitokeza katika Maadhimisho ya Siku ya Afya na Lishe kata ya Matumbulu. Picha na Lilian Leopold. Elimu hii inalenga kupunguza tatizo la udumavu kwa watoto wenye umri wa miaka mitano na kushuka chini. Na Lilian…

21 August 2025, 4:09 pm

Ajenda ya lishe shuleni iwe endelevu

Alhaj Jabir Shekimweri  amewasistiza walimu kuwa ajenda ya lishe shuleni iwe endelevu na kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanapata chakula. Na Lilian Leopold. Katika juhudi za kuboresha elimu na afya ya wanafunzi, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Alhaj Jabir Shekimweri,…

6 August 2025, 1:12 pm

Jamii yatakiwa kuzingatia suala la unyonyeshaji

Wizara ya Afya inaendelea kuhimiza utekelezaji wa sera na hatua za kuimarisha mazingira yanayowawezesha mama kunyonyesha kwa uhuru. Na Lilian Leopold.Jamii imeshauriwa kuzingatia suala ya unyonyeshaji kwa watoto ikiwa ni njia ya ustawi wenye afya bora kwa watoto. Maadhimisho ya…

2 September 2024, 5:32 pm

Lishe ni muhimu kwa ufaulu wa wanafunzi

Licha ya kuimarisha kinga ya mwili lishe bora pia inaelezwa inatajwa kumsaidia mwanafunzi kuwa na uwezo wa kufikiri na kumbukumbu hivyo kumwezesha mwanafunzi kuelewa na kukumbuka masomo kwa wepesi. Na Mindi Joseph. Imeelezwa kuwa Mpango Mkakati wa Afya na lishe…

14 August 2024, 5:46 pm

DC Kongwa: Simamieni lishe kuzuia utapiamlo

Fedha zilizopangwa kutumika katika kutekeleza afua za lishe ni shilingi 27,183,940.14 sawa na asilimia 91.83 ya fedha zilizotumika kwa ajili ya chakula shuleni na kutekeleza siku ya afya ya lishe vijijini ambapo vijiji 87 na mitaa 28 vilishiriki kikamilifu .…