Dodoma FM
korona
2 September 2021, 1:53 pm
Serikali imesema itaendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya namna ya kujikinga n…
Na ; Fred Cheti. Serikali imesema kuwa itaendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya namna ya kujikinga na ugonjwa wa Uviko 19 pamoja na kuimarisha utoaji wa huduma za afya katika maeneo yote Nchini ili kukabiliana na ugonjwa huo. Kauli…