Dodoma FM
Dodoma FM
1 December 2025, 12:37 pm
Tafiti za lishe zinaonyesha kuwa ulaji wa karanga unaweza kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa asilimia 15, na pia kuchangia katika kuimarisha kinga ya mwili. Picha na Mtandao. Mbali na kuwa kitafunwa cha kawaida, karanga huchangia kuongeza kinga ya…