Dodoma FM
huduma ya kwanza
21 February 2022, 3:49 pm
Ukosefu wa elimu ya huduma ya kwanza wachangia baadhi ya watu kupoteza maisha
Na; Thadei Tesha. Imeelezwa kuwa ukosefu wa elimu kwa jamii juu ya namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa ni miongoni mwa sababu zinazopelekea baadhi ya watu kupoteza maisha kwa haraka. Baadhi ya wananchi jijini hapa wamesema ueleewa juu…