Dodoma FM

hali ya hewa

21 April 2022, 3:36 pm

TMA yatakiwa kuweka vipaumbele katika kuboresha huduma

Na;Mindi Joseph . Waziri wa ujenzi na uchukuzi Prof Makame Mbarawa ameitaka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Kuweka vipaumbele zaidi katika kuboresha zaidi huduma zote wanazozitao  kwa jamii. Akizungumza leo jijini Dodoma katika Ufunguzi wa kikao cha  Baraza…