Dodoma FM
elimu ya corona
12 October 2021, 1:14 pm
Elimu ya kujikinga na uviko 19 yawafikia wananchi wa vijijini Mkoani Dodoma
Na;Yussuph Hans. Jitihada za kufikisha Elimu ya kuchukuwa tahadhari na kujikinga dhidi ya Ugonjwa unaoenezwa na Virusi vya korona UVIKO-19, inaelezwa elimu hiyo imewafakiwa vyema hadi wakazi wa maeneo ya vijiji mbalimbali Mkoani Dodoma. Hayo yanajiri kufuatia Taswira ya Habari…