Bunge
21 April 2022, 11:05 am
Lugha mama itumike kufundishia shuleni
Na; Yussuph Hassan. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo kwa kujadili hotuba ya bajeti katika Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi. Katika kujadili bajeti hiyo Mbunge wa jimbo la Tabora Kaskazini Athumani Almas…
21 June 2021, 10:24 am
Serikali yaweka mifumo kuhakikisha inawatambua watumishi walio staafu na kuwalip…
Na; Yussuph Hans. Serikali imesema katika kuhakikisha watumishi waliostaafu wanapata mafao yao imetengeneza mifumo ya tehama kwa ajili ya kuwatambua wananchama wote pamoja na kulipa malimbikizo yaliyosalia. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na…
23 April 2021, 9:14 am
Serikali yakiri hakuna malimbikizi ya malipo ya Pensheni kwa wastaafu
Na; Yussuph Hans Serikali imesema imelipa mafao mbalimbali kwa Wanachama waliokidhi vigezo ambapo katika kipindi cha Julai Mwaka 2020 mpaka Mwezi Machi Mwaka huu, imewalipa jumla ya Watumishi 93,661 Mafao yenye thamani ya Tsh Bilioni Mia Tatu Sabini na Saba…
14 April 2021, 1:09 pm
Serikali kukamilisha miradi ya kilimo iliyo anzisha
Na; Selemani Kodima Wizara ya kilimo imesema itaendelea kujikita zaidi kwenye kipaumbele cha kufanya tathimini na kukamilisha miradi ya umwagiliaji iliyopo ikiwemo kuangalia ufanisi wake na kukamilishi miradi ya maji ambayo wameshaianza. Hayo yamesemwa leo bungeni na Naibu waziri wa…