Dodoma FM
Bodaboda
6 May 2021, 7:59 am
Wananchi Makulu waomba bodaboda wanao fanya uhalifu wachukuliwe sheria kali
Na; Joan Msangi. Kufuatia baadhi ya watu wanaoendesha pikipiki maarufu kama bodaboda kudaiwa kujihusisha na uhalifu , wananchi katika Kata ya Makulu jijiniĀ Dodoma wameiomba Serikali kuwachukulia hatua kali za kisheria watakaobainika. Wakizungumza na Dodoma fm wananchi hao wamesema nyakati…