Dodoma FM
ziara
2 September 2021, 2:24 pm
Fedha za makato mbalimbali zatarajia kujenga madarasa zaidi ya 500 kwa shule za…
Chanzo: Dawati Rais wa Jamhuri yamuungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inatarajia kujenga madarasa zaidi ya 500 kwa shule za msingi na sekondari Nchi nzima kupitia makato katika tozo mbalimbali. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo alipokuwa…
8 July 2021, 11:49 am
Rais Samia azitaka taasisi za Dini nchini kufanya kazi kwa kuaminiana
Dawati la Habari. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za dini Nchini kufanya kazi kwa uwazi na kuaminiana ikiwemo kuweka wazi mahesabu ili watoza kodi waweze kujua hali halisi ya uendeshaji wa taasisi…