Dodoma FM
vitambulisho
26 November 2021, 1:38 pm
Serikali imewataka wananchi walio omba vitambulisho vya Taifa kwenda ofisi za us…
Na; Fred Cheti . Serikali imewataka wananchi wote walioomba vitambulisho vya Taifa kwenda katika ofisi za Usajili za wilaya ,kata pamoja na vijini walipofanya usajili kwa ajili ya kwenda kuchukua vitambulisho hivyo badala ya kulalamika kuwa vitambulisho hivyo havitoki. Wito…