Dodoma FM

uteuzi

23 June 2022, 2:18 pm

TANESCO yazindua huduma ya NIKONECT

Na; Benard Filbert. Shirika la umeme nchini Tanesco limezindua huduma ya kuwaunganishia umeme wananchi kwa haraka inayofahamika kama NIKONEKT  ambayo inafanyika mtandaoni pasipo kwenda kwenye ofisi za shirika hilo. Hayo yameelezwa na Sarah Libogoma afisa uhusiano na huduma kwa watejaTanesco…