Dodoma FM

ulemavu

2 July 2021, 11:19 am

‌Uhamasishaji mdogo wapelekea watu wenye ulemavu kuto nufaika na mikopo ya ha…

Na; Mariam ‌ ‌Matundu. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa taarifa na uhamasishaji kwa watu wenye ulemavu kujiunga katika vikundi ni moja ya sababu inayo pelekea kundi hilo kutopata mikopo kwa wingi inayotolewa na halmashauri.‌ ‌Hayo‌ ‌yamesemwa‌ ‌namwenyekiti‌ ‌wa‌ ‌chama‌ ‌cha‌ ‌watu‌ ‌wenye‌ ‌ulemavu‌ ‌wilaya‌ ‌ya‌ ‌Kondoa‌ ‌bwana‌ ‌Abedi‌ Dutu‌ ‌ambapo‌ ‌amesema‌ ‌uhamasishaji‌ ‌kwa‌ ‌watu‌ ‌wenye‌ ‌ulemavu ‌wanaoishi‌ ‌maeneo‌ ‌ya‌ ‌vijijini‌ ‌kuomba‌ ‌mikopo‌ ‌upo‌ ‌chini‌ ‌hivyo‌ ‌wengi‌ ‌wao‌ ‌hukosa‌ ‌fursa‌…