ukatili
19 August 2021, 1:21 pm
Serikali yaombwa kutoa elimu dhidi ya vitendo vya ukatili wa jinsia kwa jamii
Na; Benard Filbert. Baadhi ya wakazi Jijini Dodoma wameiomba Serikali kuhakikisha wanatoa elimu katika jamii kuhusu vitendo vya ukatili wa kijinsia na ubakaji ili kusaidia kukomesha tatizo hilo. Wamesema hayo wakati wakizungumza na taswira ya habari wakati wakielezea nini kifanyike…
2 August 2021, 1:34 pm
Wanaume na wavulana wahitaji elimu zaidi ili kutoa taarifa ya vitendo vya ukatil…
Na;Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa bado kuna ukimya unaoendelezwa na baadhi ya Wanaume na Wavulana wanaofanyiwa vitendo vya ukatili wa katika jamii hali ambayo inawasababishia madhara makubwa mbeleni. Wakizungumza na taswira ya habari wakazi jijini Dodoma wamesema kuwa ili kupiga hatua…
22 July 2021, 2:35 pm
Immelezwa kuwa mila potofu katika jamii zinachangia watu kushindwa kutoa taarifa…
Na; Shani Nicolous. Imeelezwa kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia katika vyombo vya usafiri hasa wa umma vimekithiri ingawa bado watu wana uelewa mdogo kuhusu ukatili huo. Akizungumza na Dodoma Fm mkaguzi wa polisi dawati la jinsia Teresia Mdendemi amesema…
19 July 2021, 11:12 am
Serikali yatakiwa kushirikiana na mashirika binafsi ili kutokomeza vitendo vya u…
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa serikali kutengeneza umoja na mashirika binafsi pamoja na jamii nzima ili kutokomeza vitendo vya ukatili nchini.Akizungumza na Dodoma fm meneja mradi wa shirika lisilo la kiserikli la {Action for community care} Bi, Stella Matemu…
9 July 2021, 11:31 am
Elimu itasaidia watoto kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia kwa urahisi zaidi
Na; Joan Msangi. licha ya juhudi kubwa za serikali pamoja na mashirika mengne ya haki za binadamu kuendeleza upingaji wa vitendo vya ukatili wa kijinsia bado matukio hayo yanaendelea ambapo takribani watoto 40 elfu wanapitia hali hiyo. Wakizungumza na taswira…