Dodoma FM
simu
15 October 2021, 11:47 am
Mafundi wa simu za mkononi wametakiwa kuacha tabia ya kuflash simu kwa lengo la…
Na; Benard Filbert. Mafundi wanaotengeneza simu za mkononi zilizoharibika wameombwa kuacha tabia ya kuflash simu kwa lengo la kuondoa ulinzi kufanya hivyo ni kinyume na sheria ya makosa ya mitandao. Hayo yameelezwa na Bi Rachel Charles katibu wa kamati ya…