Dodoma FM

naCONGO

10 August 2022, 2:04 pm

TRC kuimarisha ulinzi na usalama wa mizigo kwenye Treni

Na;Mindi Joseph . Shirika la Reli Tanzania limesema limejipanga kuhakikisha linaimarisha ulinzi na usalama wa mizigo ya abiria kwenye Treni kwa  kudhibiti vitendo vya wizi vinavyofanyika. Hayo yamebainishwa na Mkurungezi Mkuu TRC Masanja Kadogosa kufuatia changamoto hiyo ambayo imekuwa ikijitokeza…