Dodoma FM
mfumo dume
11 October 2021, 12:11 pm
Wanawake wa kijiji cha Chambogo Rorya wakabiliwa na mfumo dume unao wanyima haki…
Na; Pius Jayunga. Wanawake jamii ya Kijaruo katika Kijiji cha Chambogo Wilaya ya Rorya Mkoani Mara wanakabiliwa na changamoto ya mfumo dume ambao unawaathiri kimaendeleo kwa kunyimwa haki ya umiliki wa ardhi. Dodoma FM imezungumza na mmoja wa wanawake katika…
28 September 2021, 1:29 pm
Mkoa wa Dodoma watajwa kuwa miongoni mwa mikoa ambayo bado imeshikilia mfumo Dum…
Na;Mindi Joseph . Mkoa wa Dodoma umetajwa kuwa miongoni mwa mikoa ambayo wanawake hawashirikishwi katika maamuzi ya familia kutokana na uwepo wa mfumo dume. Taswira ya habari imezungumza na Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Dodoma Bi.Honoratha Rwegasira amesema kuwa katika Mkoa wa Dodoma bado…