Dodoma FM
KONGAMANO
29 November 2021, 12:33 pm
Kongama la tatu la ushiriki wa watanzania katika miradi ya serikali latarajia ku…
Na; Mariam Matundu. Baraza la Taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi linatarajia kufanya kongamano la tatu la ushiriki wa waTanzania katika miradi ya serikali ambalo litakusanya takribani wafanyabiasha 500 ndani na nje ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari hii leo…