Dodoma FM

kifua kikuu

26 June 2023, 12:17 pm

Wazazi watakiwa kuwajali watoto wenye ulemavu

Wazazi wanakumbushwa kuendelea kuwajali watoto wenye ulemavu kwa kuhakikisha wanapata mahitaji yao muhimu ili waweze kutimiza ndoto zao. Na Mariam Kasawa. Wazazi wametakiwa kuwajali na kuwathamini watoto wenye ulemavu kwa kuwapatia elimu ili waweze kutimiza ndoto zao . Ni katika…

23 March 2022, 2:39 pm

Hali ya ugonjwa wa kifua kikuu yaendelea kudhibitiwa

Na;Yussuph Hassan.   Kuelekea siku ya kifua kikuu Duniani march 24, imeelezwa kwa Serikali Mkoani  Dodoma katika kutokomeza ugonjwa huo ilipanga kila baada ya miezi mitatu kuibua wagonjwa Elfu Moja, Mitatu Sitini na Mbili, kila baada ya miezi mitatu. Lengo…