Dodoma FM
ajira
6 July 2021, 2:01 pm
Baadhi ya wafanyakazi wa ndani waelezea kukumbana na changamoto ya ukatili na un…
Na;Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa licha ya mchango mkubwa katika Familia, bado wafanyakazi wa ndani wanakabiliwa na changamoto ya kufanyiwa vitendo vya Ukatili na Unyanysaji wa kijinsia kutoka kwa waajiri wao, wanafamilia, ndugu na marafiki. Mmoja wa wasaidizi wa kazi za…
5 July 2021, 10:54 am
Wanafunzi wa vyuo watakiwa kujiandaa kisaikolojia kukabilia na changamoto ya aj…
Na;Yussuph Hans. Mjadala kuhusu tatizo la ajira Nchini limekuwa likichukua sura mpya na hii ni kutokana na ukubwa wa tatizo hilo ambalo linaendelea kuumiza vichwa vya watungaji wa sera na wadau wengine. Hali hii imepelekea baadhi ya wasomi na wachambuzi…