Chai FM

Miundombinu

7 June 2024, 10:25 am

Shilingi milioni 90 kuboresha miundombinu Lupata

Ili kuhakikisha wanafunzi wanaendelea kupata elimu katika mazingira mazuri serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini. RUNGWE-MBEYA Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo  katika Halmashauri ya Wilaya…

4 June 2024, 5:14 pm

Mkandarasi apewa wiki tatu kukamilisha stendi Rungwe

Ili kuboresha miundombinu wananchi wametakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa ushirikiano kwa serikali pindi inapotekelezwa miradi mbalimbali kwenye maeneo yao    RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh, Juma Homera  amemwagiza mkandarasi anayejenga stendi ya Mabasi Tukuyu…