Chai FM

Afya

29 May 2024, 3:39 pm

Chamata Rungwe imewagusa wazazi

Mganga mkuu wa hospital ya wilaya ya Rungwe akimshukuru mwenyekiti wa chamata [picha na Lennox Mwamakula] wakazi wa Rungwe wameshauriwa kujenga tabia ya kuwatembelea wagonjwa kwenye hospitali na hata majumbani kwa dhumuni la kufarijiana RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Jamii imetakiwa…

9 May 2024, 3:37 pm

Elimu ya saratani ya shingo ya kizazi yatolewa Rungwe

Elimu ya afya ya uzazi inatakiwa kuendelea kutolewa kwenye jamii ili kukabiliana na magonjwa yasio ya lazima RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Jamii imeshauriwa kuwa na utaratibu wa kupima afya ili kukabiliana na maradhi mbalimbali ukiwemo ugonjwa wa saratani  ya  shingo…