Michezo
17 July 2024, 2:40 pm
Mwanamke unafanya shughuli gani za kuongeza kipato kipindi cha ukame?
Kwenye jamii za kifugaji kuwa na shughuli nyingine ya kujiingizi kipato inakua ni ngumu kidogo, Hii ni kwasababu jamii hizi mara nyingi zinategemea ufugaji pekee, na hii inapelekea kipindi cha ukame kuwa na kipato kidogo sana kwenye familia Kwa mujibu…
17 July 2024, 13:17
NGO’s zatakiwa kuweka uwazi kwenye miradi
Serikali imesema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa mashirika yasiyo ya kiserikali ili yaweze kufanya kazi katika mazingira bora. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mashirika yasiyo ya kiserikali yametakiwa kuongeza uwazi katika utendaji wao wa kazi ili serikali ijuwe namna wanavyotekeleza…
16 July 2024, 16:13
Wananchi mtumie fursa zilizopo kujikwamua kiuchumi
Inaelezwa kuwa uwepo wa fursa mbalimbali za kiuchumi katika halmashauri ya mji wa kasulu mkoani kigpma wananchi wameshauriwa kutumia fursa hizo kwa ajili kujiongezea kipato na kuinua uchumi wao na uchumi wa taifa kwa ujumla. Na Hagai Ruyagila – Kasulu…
16 July 2024, 11:13
Minara 758 kufikisha mawasiliano nchi nzima
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imedhamiria kujenga minara ya mawasiliano ili kuhakikisha maeneo mbalimbali nchini yanakuwa na mawasiliano ya uhakika na kuchochea maendeleo Kwa wananchi. Na Tryphone Odace – Kibondo Waziri wa habari na mawasiliano Nchini Tanzania…
15 July 2024, 9:27 pm
Majani yanayodhaniwa ni dawa za kulevya yakamatwa kwenye roli la mafuta Bunda
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Bunda kwa kushirikiana na mamlaka ya dawa za kulevya Kanda ya Ziwa wamekata magunia 205 yanayodhaniwa kuwa dawa za kulevya. Na Edward Lucas Shehena ya magunia 205 yenye majani makavu yanayodhaniwa kuwa ni madawa…
15 July 2024, 2:22 pm
Ufugaji wa kisasa wenye tija katika jamii
Picha kwa msaada wa mtandao Na Joyce Elius Wafugaji wametakiwa Kutumia mbinu bora za ufugaji ili kujipatia kipato kutokana na shughuli hiyo ya ufugaji na kuweka kujikimu kipindi cha kiangazi hasa jamii ya Kimaasai ambayo inategemea ufugaji kama shughuli yao…
15 July 2024, 10:44 am
Wananchi Wigembya na Ikulwa waanza kupata maji safi
Mkuu wa wilaya ya Geita Hashim Komba ameendelea kutembelea wananchi katika maeneo mbalimbali ya wilaya yake ambapo ameweka jiwe la msingi katika mradi maji uliopo Wigembya. Na: Kale Chongela – Geita Zaidi ya wananchi elfu kumi na tatu mia nne…
14 July 2024, 18:23
Wakristo wakumbushwa kudumisha amani kuelekea uchaguzi
Kudumisha amani ni jambo linalopaswa kufanya na mtu yeyote kwenye, amani inapotoweka husababisha madhara mbalimbali ilikiwemo vifo ili kuepuka hayo jamii inapaswa kuishi na kuwa sababu ya kutunza Amani, ukiwa ni pamoja na kuwa na mshikamano. Na Hobokela Lwinga Katika…
14 July 2024, 11:37
Wakristo Mbeya wafanya maombi maeneo ya ajali zinakotokea mara kwa mara
Kutokana na ajali za mara kwa mara mkoani Mbeya zimewafanya wakristo kufanya ibada ya maombezi kukomesha matukio hayo. Na Deus Mellah Jukwaa la wakristo wa madhehebu mbalimbali mkoani Mbeya wamefanya maandamano ya amani na kuombea maeneo ambayo ajali zimekuwa zikitokea …
13 July 2024, 13:58
Kwaya kuu Ushirika wa Msia Mbozi watembelea Baraka FM Mbeya
Kutembelewa ni jambo la heri na hii ni ishara kwamba unapendwa, hii ndio maana halisi ya kile kinachokuwa kimefanyika kwa mgeni yoyote anayefika katika malango yako. Na Hobokela Lwinga Mapema leo kituo cha matangazo cha redio Baraka kimepokea ugeni wa…