Michezo
13 August 2024, 5:47 pm
Kiongozi wako anawashirikisha vijana katika kukabiliana na ukatili wa kijinsia?
Nijuze Radio Show, Kwa mujibu wa Takwimu za Demografia na Afya Tanzania (TDHS) Za mwaka 2015/2016, 40% ya wanawake wenye umri wa miaka 15- 49 wameripoti kufanyiwa ukatili wa kimwili, 17% wameripoti kufanyiwa ukatili wa kingono. Katika mkoa wa Manyara,…
13 August 2024, 17:46
Milioni 37 zapatikana ujenzi jengo la kuabudia Moravian Jimbo la Kusini
Taasisi za dini zimekuwa na mchango mkubwa nchini katika kudumisha amani na upendo hali hiyo imekuwa kichocheo kikubwa kwa viongozi wa serikali kuwa karibu katika kuchochea maendeleo ya taasisi hizo na taifa kwa ujumla. Na Mwandishi wetu. Makamu Askofu wa…
13 August 2024, 11:28 am
Kiongozi wako anawashirikisha vijana kukabiliana na ukatili wa kijinsia?
Picha kwa msaada wa mtandao Ushiriki wa vijana katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia ni muhimu kwa sababu wao ni sehemu kubwa ya idadi ya watu na wana nguvu ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kujihusisha kwao kunasaidia kujenga…
12 August 2024, 13:56
Barabara ya Buhigwe-Kasulu kunufaisha wananchi kiuchumi
Wananchi wa kata ya Heru Juu katika halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wameipongeza serikali kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya lami unaoendelea kutoka wilayani Buhigwe kuelekea wailayani Kasulu ambapo ukikamilika utawasaidia katika shughuli zao za kiuchumi. Pongezi hizo…
9 August 2024, 1:24 pm
Ziara ya mbunge kukangua miradi ya maendeleo kata ya Teerat
Waandishi wetu Baraka Ole Maika Msafara wa Mbunge Jimbo la Simanjiro Mh Christopher Ole Sendeka umezuiliwa na wanananchi wa kijiji cha Loswaki kutokana na kero ya maji inayowakabili kuwa muda mrefu. Mwandishi wetu Baraka Ole Maika alizungumza na wananchi na…
8 August 2024, 1:36 pm
RUWASA yaanza kutatua changamoto ya maji Nyarugusu
Wakazi wa kata ya Nyarugusu halmashauri ya wilaya ya Geita wameiomba serikali kutatua changamoto ya muda mrefu ya ukosefu wa maji safi na salama katika kijiji hicho kwani maji wanayotumia kwa sasa yanahatarisha afya zao. Na: Edga Rwenduru – Geita…
6 August 2024, 1:18 pm
Aliyeuawa na wasiyojulikana azikwa Bunda
Waombolezaji walaani kitendo cha mtu kuvamiwa ndani kwake kisha kuuawa wameliomba jeshi la polisi kuwasaka wahusika na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria Na Adelinus Banenwa Mwanamke aliyeuawa baada ya kushambuliwa na watu wasiyojulikana nyumbani kwake katika mtaa wa Rubana kata…
1 August 2024, 11:24
KUWASA yalalamikiwa maji kuwanufaisha matajiri tu Kigoma
Wananchi Katika Kijiji cha Matyazo Kata ya Kalinzi Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoani Kigoma, Wamelalamika kukatiwa Maji kutoka katika Mradi wa Maji Kijiji humo, na kusababisha kaya nyingi kulazimika kutumia maji yasiyosalama kiafya, sambamba na kuomba Uongozi wa RUWASA…
1 August 2024, 08:54
Wafanyabiashara walia na utitiri wa kodi Kigoma
Serikali ya mkoa Kigoma imesema itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara ii waweze kufanyabiashara kwa urahisi kwa kuweka mindombinu bora ya usafiri na usafirishaji. Na Lucas Hoha – Kigoma Wafanyabiashara Mkoani Kigoma wameomba Serikali kupunguza utitili wa Kodi zinazotozwa mipakani…
31 July 2024, 8:04 am
Mlinzi akutwa ameuawa na wanaodaiwa ni majambazi akiwa lindoni
Mwanaume mmoja ambaye ni mlinzi akutwa ameuawa katika eneo lake la lindo wezi waondoka na tv na vinywaji Na Adelinus Banenwa Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Baraka Juma 38 mkazi wa mtaa wa mapinduzi kata ya Bunda mjini ammmmmm…