Radio Tadio

Michezo

3 December 2024, 11:22

Baiskeli 27 zagawiwa kwa wakulima wawezeshaji wa zao la pamba

Mkuu wa Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma Kanali Isac Mwakisu amesema serikali itaendelea kuwasaidia wakulima kwa kuwawezesha nyenzo mbalimbali zitakazowawezesha kulima kilimo chenye tija. Na Michael Mpunije – Kasulu Halmshauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekabidhi baiskeli 27 kwa wakulima…

9 November 2024, 07:15

Wananchi watakiwa kuwa na uzalendo kipindi hiki cha uchaguzi

Viongozi wa dini Songwe Watoa Miongozo kwa Wananchi Kuhusiana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Na Mwandishi wetu,Songwe Katika Mkoa wa Songwe, wananchi wametakiwa kuweka uzalendo mbele katika kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa ili kuhakikisha wanachagua viongozi bora…

6 November 2024, 11:30 am

Upepo waacha kaya 73 bila makazi Muleba

Vipindi vya mvua zinazoambatana na upeo mkoani Kagera zimekuwa zikisababisha madhara mbalimbali kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuezua nyumba na kuwaacha bila makazi sambamba na kuharibu baadhi ya mazao mashambani Na Jovinus Ezekiel Kaya 73 zimeathiriwa na upepo mkali…

5 November 2024, 11:48

Askofu Mwakanani,waombeeni na kuwasaidia watu wenye uhitaji

Kutoa msaada kwa wahitaji hakutegemea cheo Wala hadhi ya mtu kila mtu inapaswa kumsaidia mahitaji yeyote mwenye uhitaji. Na Kelvin Lameck Waumini wa madhehebu mbalimbali nchini wametakiwa kuendelea kuwaombea na kutoa misaada kwa watu wenye uhitaji wakiwemo yatima na walemavu.…