Radio Tadio

Michezo

25 December 2024, 15:57

Wakristo watakiwa kutafakari imani zao

Katika kusherehekea sikuku ya Krismas wakristo kote nchini wametakiwa kujitafakari imani zao kwa namna wanavyomtumikia Mungu. Na Kelvin Lameck Waumini wa madhehebu mbalimbali nchini,wametakiwa kutumia maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo kama fursa ya kujitathmini kiroho na kuachilia magumu yote…

25 December 2024, 13:06

Waumini watakiwa kutenda mema na kuacha uovu

Sherehe ya Kristmas kwa mkiristo ni kiashiria cha kukumbuka upendo wa Mungu kwa mwanadamu kwa ujio wa Yesu Kristo mkombozi wa ulimwengu. Na Hobokela Lwinga Wakristo duniani wametakiwa kutenda mema ili kuwa kielelezo kuonyesha kwamba ni wafuasi wa Mungu hali…

24 December 2024, 5:07 pm

Askari kata afariki kwa ajali Babati

Askari kata wa kituo cha polisi Kiteto  Geogre Mwakambonjo  anaekediriwa kuwa na umri wa miaka 40  amefariki baada ya kugongwa na lori  Na Mzidalfa Zaid Askari kata wa kituo cha polisi Kiteto  Geogre Mwakambonjo  anaekediriwa kuwa na umri wa miaka…

18 December 2024, 12:24 pm

Wezi waiba kwenye maduka zaidi ya 11 Bunda

“Wametoboa signboard wamekunywa soda maganda wametupa hapo chini walinzi walikuwa nje hawakujua kilichokuwa kikiendelea“. Na Adelinus Banenwa Ni katika hali isiyo ya kawaida  wezi waiba zaidi ya maduka 11 eneo la Genge la jioni mtaa wa Posta kata ya Bunda…

12 December 2024, 09:32

Askofu Mwakijambile azikwa kijijini Isaki Kyela

Dunia ni njia ya kupita wengi lakini katika upitaji wa dunia hakuna ambaye anajua siku ya kumaliza safari yake duniani hivyo tuishi maisha ya uchaji kwa Mungu. Na Kelvin Lameck Waumini wa madhehebu mbalimbali nchini wametakiwa kuheshimu viongozi wao wa…

12 December 2024, 09:21

EWURA yaonya uuzaji holela wa mafuta Kigoma

Meneja wa mamlaka ya udhibiti wa nishati na maji  EWURA Kanda ya Magharibi Mhandisi Walter Christopher amewataka wadau wa masuala ya uuzaji wa mafuta kutumia fursa ya kuwekeza katika maeneo ya vijijini ambako kuna uhaba mkubwa wa vituo vya mafuta.…

10 December 2024, 12:31 pm

Wanaume Iringa walalamikia kupigwa na wake, kuwekewa limbwata

Na Mwandishi wetu Wanaume kutoka Kijiji cha Igangidung’u Kata ya Kihanga wilayani Iringa wameeleza namna ambavyo wanafanyiwa ukatili wa kisaikolojia kwa kupewa dawa za kuwapumbaza akili zikifahamika kwa jina la ‘limbwata’ sambamba na kukutana na vipigo kutoka kwa wake zao.…