Radio Tadio

Michezo

13 July 2024, 12:38 pm

Kata ya Ihanamilo yakabiliwa na uhaba wa maji

Licha ya serikali kufanya jitihada za ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule zilizopo kata ya Ihanamilo, eneo hilo linakabiliwa na changamoto ya uhaba wa maji. Na: Edga Rwenduru – Geita Changamoto ya uhaba wa maji katika kata ya Ihanamilo…

12 July 2024, 12:33 pm

Ufaulu wapaa baada ya shule kupata umeme

Picha joyce Elias Na Isack Dickson. Mkuu wa shule ya Sekondari Terrat Julius Maplani amesema kuwa ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha Nne umekuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka mara baada ya kuwepo kwa umeme wa uhakika. Mwalimu Maplani amesema hayo…

11 July 2024, 12:54

Hii hapa ahadi ya Bashungwa kwa makamu wa rais Dr Mpango

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr Philip Isdor Mpango amemtaka waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa kuhakikisha upanuzi wa uwanja wa ndege unakamilika haraka ifikapo 2025. Na Josephine KiravuMakamu wa Rais amesema hayo wakati akifanya ukaguzi…

10 July 2024, 3:37 pm

Wananchi tafuteni hatimiliki za ardhi kupunguza migogoro

Na Isack Dickson. Wananchi wa kijiji cha Terrat na wanajamii kwa ujumla wametakiwa kuhakikisha wanamiliki hati miliki za ardhi ili kupunguza migogoro ya ardhi katika jamii. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Terrat Ndg Kone P Medukenya katika mahojiano…

10 July 2024, 3:27 pm

Migogoro ya ardhi ilivyomnyima kufanya maendeleo

Na Baraka David Ole Maika. Lucas ni mkaazi wa wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha familia yake imekuwa na mgogoro wa ardhi ambao umesababisha kushindwa kufanya maendeleo yoyote katika Ardhi wanayo miliki. Mwanahabari wetu Baraka David Ole Maika amefunga Safari…