Butiama FM Radio

Wananchi Butiama watakiwa kujikita kwenye kilimo cha viazi, mahindi na ulezi

April 29, 2025, 1:54 pm

Picha viazi mviringo na patrick kimambo

Wakulima mbali mbali kutoka wilaya ya butiama mkoani mara wametoa maoni yao juu ya namna wanaweza kupata mavuno mengi kupitia mazao ya viazi mahindi na ulezi kulingana na ardhi ya butiama ilivyo.

Na swaiba Oscar,

Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti wananchi hao wamekiri ugumu wa ardhi ya butiama kukosa rutuba laikini haijawazuia kuweza kuwekeza kwenye kilimo ili kupata mazao mengi wakati wa mavuno hayo. Mmoja wa wakulima amezungumzia namna anavyooweza lihidumia shamba lake ili kuweza kupata mazao mengi Zaidi lipindi cha mavuno na kushauri wengine kufuata hatua zote za upandaji mbegu palizi kuweka mbollea ndipo kuna weza kutoa mavuno mazuri yatakayoweza kupata soko kwa haraka pindiĀ  ukipeleka sokoni.

Picha ya mahindi na Patrick Kimambo
Sauti ya mkulima wa mahindi

Sauti ya mkulima wa viazi
Sauti ya mkulima wa ulezi