Butiama FM Radio
Butiama FM Radio
April 24, 2025, 10:10 am

Wasanii na wadau wa sanaa wilaya ya Butiama mkoani Mara wametakiwa kuwa na jukumu la kutoa maoni juu ya bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia vyombo washirika.
Na Swaiba Oscar na Robert Mwampembwa