Bunda FM Radio

Bei za bidhaa kutopaa soko kuu kipindi cha sikukuu wilayani Bunda

April 24, 2025, 10:21 am

Baadhi ya mabanda ya wafanyabiashara wanaouza kuku soko kuu wilayani Bunda. Picha na Amos Marwa

”nawahakikishia wanachi wilayani Bunda kuwa bei za bidhaa katika kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka hazitopanda” Khalid Ally mwenyekiti soko kuu Bunda

Na Amos Marwa