Baraka FM
Maiti
30 March 2024, 19:19
Zimamoto Mbeya yaopoa mwili wa asiyefahamika mto Magege
Katika hali isiyo ya kawaida mwili wa mtu mmoja umekutwa katika mto Magege ukidhaniwa kutupwa na watu wasiojulikana baada ya kumfanyia kitendo kilichopelekea kupoteza maisha. Na Ezekiel Kamanga Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kuopoa mwili wa…