Adhana FM
WADAU WA UTALII
17 October 2021, 4:22 pm
Wadau wa utalii Zanzibar wametakiwa kubuni mbinu mpya za kuwavutia watalii
Na Kassim Abd OMPR Makamo wa pili wa rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amewataka wadau wa utalii kubuni mbinu mpya zitakazoleta ushindani kwa kuibua vivutio vipya sambamba na kuviimarisha vivutio vyengine ili viwe na mazingira yatakayowashawishi watalii kurudi tena…