Adhana FM

Maadhimisho

6 October 2021, 8:15 am

Walimu watakiwa kuchangamkia fursa zilizopo

Na mwandishi wetu Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya mafunzo ya  amali Zanzibar mhandisi Bakari Ali Silima amewataka  walimu kuzifahamu fursa zilizopo katika uchumi wa bluu ili kuwaelekeza vijana kufikia lengo la ukuaji wa uchumi nchini. Akizungumza katika siku ya maadhimisho…