Radio Tadio

Zahati

10 Febuari 2026, 10:37 mu

Serikali yatoa mwelekeo wa kuongeza mbegu himilivu

Kwa Tanzania na nchi nyingine zinazokabiliwa na ukame, uwekezaji katika mbegu himilivu na kilimo kinachostahimili mabadiliko ya tabianchi si hiari tena—ni hitaji la dharura. Na Mariam Kasawa. Katika miaka ya karibuni, mabadiliko ya tabianchi yameendelea kuitikisa dunia, yakiacha athari kubwa…

23 Febuari 2024, 5:10 um

Wananchi wakosa elimu ya kutosha utunzaji wa mbegu

Wakulima wanashauriwa kutumia mbegu bora kwa kununua mbegu katika duka lililosajiliwa na TOSCI ili kusaidia kubaini nani anayesambaza mbegu zisizo na ubora na kurahisisha namna ya kutatua changamoto itakayokuwa imejitokeza. Na Mindi Joseph. Uhifadhi sahihi wa mbegu umetajwa kuwa changamoto…