Radio Tadio

Waziri

21 Novemba 2025, 3:18 um

Zifahamu Fursa za Teknolojia zinazoweza kuwaingizia vijana kipato

Iwapo vijana watawezeshwa na kupata mafunzo ya teknolojia, zaidi ya asilimia 60 wanaweza kuingia rasmi kwenye ajira za kidijitali. Na Seleman Kodima.Imeelezwa kuwa zipo fursa nyingi zinazoweza kupatikana kupitia teknolojia na kusaidia vijana kujiingizia kipato. Katika mjadala uliofanywa na mwandishi…

9 Oktoba 2025, 12:32 um

Matumizi ya mtandao yazingatiwe kuongeza ubunifu

Matumizi sahihi ya mtandao yanachangia kukuza ubunifu na maarifa katika nyanja mbalimbali. Kupitia teknolojia hii, watu wanaweza kupata taarifa, kujifunza mbinu mpya, na kubuni mawazo yatakayochochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Picha na Google. Bi. Lawi ameongeza kuwa mtu anaweza…

15 Septemba 2025, 3:52 um

Teknolojia inavyoathiri malezi ya watoto

Teknolojia inaweza kuwa chachu ya maendeleo ikiwa itatumika kwa uangalifu na kwa ushauri wa karibu kutoka kwa wazazi. Na Joseph Gontako.Imeelezwa kuwa mabadiliko ya kiteknolojia yameathiri mfumo wa malezi katika jamii, kutokana na baadhi ya wazazi kutumia teknolojia zaidi katika…

12 Febuari 2025, 3:36 um

Usalama mtandaoni kupanua wigo wa watumiaji

Siku ya usalama mtandaoni duniani huadhimishwa Jumanne ya pili ya mwezi Februari kila mwaka ambapo ni mpango wa kimataifa ulionzishwa mwaka 2004. Na Seleman Kodima.Imeelezwa kuwa Usalama wa mtandaoni ukiimarishwa utasaidia kujenga imani kwa watumiaji wengi na kupanua wigo wa…

7 Febuari 2025, 3:58 um

Wananchi watakiwa kuona fursa kwenye uchumi wa kidigitali

Ikumbukwe kuwa Shindano hili la Masuala ya Usalama Mtandaoni’ yaan CyberChampions 2025 linaratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa lengo la kuibua, kuimarisha na kukuza uwezo kwa vijana kukabili vihatarishi vya usalama mtandaoni na kushiriki kikamilifu kwenye uchumi wa…

12 Novemba 2024, 5:26 um

Matumizi ya simu kwa mwanafunzi chanzo cha vishawishi

Na Anwary Shabani .                                    Matumizi ya simu yametajwa kuwa chanzo kwa baadhi ya wanafunzi kushindwa kuepukana na vishawishi . Baadhi ya wazazi mkoani Dodoma wamesema kuwa matumizi ya simu  kwa wanafunzi yanasababisha baadhi ya wanafunzi wasitimize ndoto zao kutokana na…

14 Oktoba 2024, 7:57 um

PM Majaliwa awataka vijana  kuchangamkia fursa za teknolojia

Na Mindi Joseph. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wachangamkie fursa zinazotokana na maendeleo ya teknolojia katika kujipatia kipato na kushiriki kukuza Uchumi wa Taifa . Amesema hayo Octoba 11 wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa…

6 Aprili 2023, 5:21 um

Wawekezaji Mundemu wapewa siku 45 kudhibiti vumbi

Hivi karibuni Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)- Kanda ya Kati kwa kushirikiana na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi – Dodoma na Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Bahi ilifanya Ukaguzi katika eneo la mradi huo.…