Watumishi
19/01/2026, 15:58
Wafanyabiashara Ving’awe waiomba serikali kuwaboreshea soko
Milioni 36 ya wafanyakazi Tanzania, milioni 25.95 sawa na 71.8% wanafanya kazi katika sekta isiyo rasmi. Na Steven Noel.Wafanyabiashara soko dogo la Vighawe, wilaya ya Mpwampwa jijini Dodoma wameiomba serikali kuwaboresha miundombinu ya soko na kuwawezesha upatikanaji wa mikopo nafuu…
07/11/2025, 14:41
Wakandarasi watakiwa kuharakisha ujenzi soko la Majengo
Ukarabati wa soko hilo unatekelezwa kupitia mradi wa Tactics ambapo takribani wafanyabiashara 1,795 watanufaika na soko hili. Na Lilian Leopold. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka wakandarasi wanaokarabati soko la Majengo jijini Dodoma kuhakikisha mradio huo unakamilika…
04/11/2024, 19:34
Maboresho zaidi yahitajika soko la Maputo Dodoma
Na Mariam Kasawa. Wafanyabiashara wa soko jipya la Maputo Jijini Dodoma wameiomba serikali kuwaboreshea mazingira ya soko hilo. Wafanya biashara hao wamesema licha ya soko hilo kuboreshwa kwa kuwekwa maeneo vizuri tofauti na awali bado wanahitaji huduma ziboreshwe sokoni hapo…
17/07/2024, 17:33
Soko la Hamvu Chang’ombe kunufaisha kiuchumi wakazi 6000
Kata ya Chang’ombe ina wakazi wapatao elfu 39000 na hadi sasa ina soko moja tu linalotumika la Mavunde na kukamilika kwa ujenzi wa soko la Hamvu itaongeza idadi ya masoko mawili. Na Mindi Joseph.Kukamilika kwa Ujenzi wa soka la Hamvu…
10/03/2023, 15:45
Watumishi watakiwa kuimarisha ufanisi katika utendaji
Dkt. Jim Yonazi, amewataka watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuimarisha ufanisi katika utendaji kazi wa kila siku ili kufanikiwa katika kufikia malengo ya Serikali. Na Alfred Bulahya. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge…