Radio Tadio
10 Disemba 2025, 4:56 um
Picha ni Bi. Eliwaza Ndalu Afisa lishe halmashauri ya Mpwampwa katika kikao cha tathmini cha mkataba wa lishe ndani ya wilaya ya Mpwapwa. Picha na Steven Noel. Bi. Ndalu amewahimiza wananchi kushirikiana na watendaji wa afya katika kufanikisha elimu ya…
10 Julai 2023, 4:49 um
Kwa sasa miongoni mwa viungo vinavyoonekena kushamiri katika masoko mbalimbali jijini Dodoma ni pamoja na vitunguu swaumu na tangawizi ambapo wengi wa wafanyabiashara hao wanasema kuwa msimu wa bidhaa hizo ni sasa kutoka mashambani. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara…