Radio Tadio

Viuatilifu

12 August 2024, 4:57 pm

Sumu kuvu hatari kwa afya, uchumi

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), sumu kuvu huharibu karibu asilimia 25 au zaidi ya chakula kinachozalishwa duniani kila mwaka. Na Mariam Kasawa.Imeelezwa kuwa sumu kuvu ina athari kwa afya za wananchi na uchumi kwa ujumla kama wakulima…

7 May 2024, 7:27 pm

Sumukuvu hatari kwa usalama wa chakula

Kulingana na shirika la Afya Duniani (WHO), sumu kuvu huharibu karibu asilimia 25 au zaidi ya chakula kinachozalishwa duniani kila mwaka. Na Mindi Joseph.Tatizo la Sumukuvu limetajwa kuhatarisha usalama wa chakula hivyo kuiweka idadi kubwa ya walaji kuwa katika hatari.…

1 March 2023, 4:47 pm

TPHPA kudhibiti viuatilifu bandia

Matumizi Sahihi na Salama ya Viuatilifu yanalenga  kujali Afya ya Watu na Mazingira kwa maendeleo endelevu na Kulinda afya ya binadamu na mazingira kwa usimamizi endelevu na bora wa viuatilifu na afya ya mimea. Na Fred Cheti. Mamlaka ya Afya…