Radio Tadio

Vita

29 Septemba 2025, 2:23 um

UCSAF yakamilisha minara 734, ujenzi wafikia asilimia 96.83

Minara iliyosalia ni 24 pekee, na inatarajiwa kukamilika hivi karibuni ili kuhakikisha huduma za mawasiliano zinafika katika maeneo yote yaliyopangwa. Na Mariam Matundu.Ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano unaosimamiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) umefikia hatua kubwa ya…

18 Agosti 2025, 5:17 um

UCSAF yawataka wananchi kuripoti kwao kero ya mtandao

Aidha, wananchi walielezwa kuhusu miradi mbalimbali ya kimkakati inayotekelezwa na UCSAF ikiwemo maendeleo ya ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano nchini. Na Mariam Kasawa.Imeelezwa kuwa mawasiliano ni muhimu katika kukuza uchumi wa Taifa hili hasa katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo…

30 Julai 2025, 1:20 um

Manda, Ilangali watembea umbali mrefu kusaka mtandao

UCSAF imeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wananchi waishio vijijini wanapata huduma bora za mawasiliano. Na Victor Chigwada.Ikiwa Sera ya Mawasiliano inabainisha kuwa wananchi wote wanapata huduma bora, salama, na nafuu za mawasiliano bila ubaguz,Hali ni tofauti kwa Wakazi wa vijiji…

5 Machi 2025, 1:00 um

Tanzania yashiriki mkutano wa dunia wa mawasiliano ya simu

Wakati huo huo, Waziri Silaa ameshiriki Mjadala wa Kitaifa (National Dialogue Tanzania: Towards a Fully Digitalized Economy) katika kikao cha pembeni na Kampuni ya Watoa Huduma za Mawasiliano Duniani (GSMA) ambao ni waandaji wakuu wa mkutano wa MWC 2025. Na…

15 Mei 2024, 12:36 um

UCSAF wapongezwa kwa kusimamia vema dhamana waliyopewa

Mnara huu ulio kaguliwa na Waziri Nape umegharimu kati ya milioni 300 mpaka milioni 350 na ni moja kati ya Minara 758, ambayo Ujenzi wake unatekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa Nchini. Na Mariam Kasawa. Mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF)…

25 Aprili 2024, 6:26 um

UCSAF yatakiwa kuvifikia vijiji ambavyo havina mawasiliano

Ujenzi wa Jengo la Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote UCSAF ulianza April 2021 na ujenzi huu umegharimu bilion 3.8. Na Mindi Joseph.Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameitaka UCSAF kusimamia kwa karibu ujenzi wa minara ya mawasiliano unaoendelea…