
Radio Tadio
8 August 2024, 4:43 pm
Shirika la Justdiggit ambalo kwa Tanzania linashirikiana na Lead Foundation limeanzisha Application hiyo lengo likiwa kutoa elimu bure ili kuwanufaisha wakulima wadogowadogo takribani milioni 350 katika ukanda wa kusini mwa Jangwa la Sahara. Na Selemani Kodima. Takriban wakulima wadogo milioni…
21 March 2023, 6:12 pm
Kwa mujibu wa wa wataalamu wa afya ubuyu ni tunda jamii ya adonsonia ambapo umekuwa na matumizi mbalimbali kwani wapo baadhi yao hutumia kama juisi na wengine huongezea thamani kwa kutengenezea bidhaa mathalani kashata au ubuyu wa rangi. Na Thadei…