Radio Tadio
October 16, 2025, 8:02 am
Kwa ajili ya watoto wachanga wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) Na Ezekiel Mwinuka Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU nchini Crispin Chalamila amekabidhi vifaa hivyo leo na kwamba vimenunuliwa kwa michango ya watumishi nchini wa Takukuru nchini kwa lengo la kuunga juhudi…