Radio Tadio

Teknolojia

6 May 2024, 6:14 pm

Mkakati wa kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto

Nini kinapaswa kufanyika ili kukomesha ukatili dhidi ya watoto? Na Mwandishi wetu.Leo tunaangazia suala la maadili katika jamii Mikakati ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kukabiliana na Mmomonyoko wa Maadili na Ukatili Dhidi ya Watoto.

25 October 2022, 4:02 pm

Mikoa Mitano Yaongoza Kuwa Na Laini Za Simu Zinazotumika

Ripoti ya Utendaji wa Kisekta imeonesha ongezeko la asilimia 3.4 kwa laini za simu zinazotumika, ambapo hadi mwezi Juni 2022 kulikuwa na laini Milioni 56.2 idadi iliyoongezeka hadi kufikia laini milioni 58.1 Septemba 2022. Takwimu zinaonyesha kwamba mikoa mitano nchini…

21 June 2022, 2:28 pm

Matumizi ya Teknolojia yatajwa kuwa changamoto kwa watu wenye ulemavu

Na;Mindi Joseph. Watu wenye ulemuvu wametajwa kukabiliwa na changamoto katika matumizi ya Teknolojia ya Mitandao Licha ya kuendelea kufanya jitihada za kuhakikisha wanawasaidia. Akizungumza na Taswira ya Habari Mkurungezi wa Taasisi ya zaina Foundation Zaituni Njovu amesema wanaendelea kuhakikisha kundi…

12 April 2022, 4:26 pm

Serikali idhibiti ongezeko la watoto wa mitaani

Na; Shani Nicolous. Wakati siku ya mtoto anayeishi na kufanya kazi  mtaani ikiadhimishwa kimataifa serikali imeombwa kuongeza nguvu na itilie mkazo jambo la kudhibiti  ongezeko la watoto wa mtaani. Akizungumza na kituo hiki Elizabeth Msuya kutoka Taasisi isiyo ya kiserikali…

20 January 2022, 4:47 pm

Kisedete kupambana na familia zinazo ruhusu watoto kuingia mtaani

Na; Benard Filbert. Shirika la KISEDET ambalo linajighulisha na kuwahudumia watoto wanaofanya kazi mtaani wamesema mwaka huu watajikita zaidi na familia zinazoruhusu watoto kuingia mtaani ili kukomesha hali hiyo. Hayo yameelezwa na Ibrahim Mtangoo Afisa ustawi wa jamii kutoka shirika…