Radio Tadio

TB

14/01/2026, 17:39

TAREWU kuwakutanisha washirika ukusanyaji mapato Dodoma

TAREWU imesisitiza kuwa mkutano huo ni sehemu ya mkakati wa chama katika kuimarisha mshikamano, elimu kwa jamii na mchango wa wafanyakazi wa ukusanyaji mapato katika maendeleo ya nchi. Na Anwary Shaban. Chama cha Wafanyakazi wa Kukusanya Mapato Tanzania (TAREWU) kimetoa…

09/10/2025, 10:31

Kanda namba tatu yatoa elimu ya mapato Mbalawala

Picha ni baadhi wa wananchi wakiwa na mifugo yao katika Mnada wa Mbalawala. Picha na Lilian Leopold. Katika ziara hiyo, timu ya watumishi wa kanda ilishiriki katika shughuli za makusanyo ya ushuru wa mifugo, biashara ndogo ndogo, pamoja na utoaji…

08/08/2024, 17:37

Jiji la Dodoma lavunja rekodi ukusanyaji wa mapato ya ndani

Wakazi wa Dodoma wameipongeza halmashauri kwa hatua hiyo. Na Fred Cheti.Halamshauri ya jiji la Dodoma imeweza kuvuka lengo la ukusanyaji mapato ya ndani kwa mwaka ulioisha kwa asilimia 103 ambapo ilipanga kukusanya na kunitumia shilingi 123.8 badala yake imeweza kukusanya…

22/03/2023, 15:46

Serikali yadhamiria kudhibiti na kutokomeza kifua kikuu

Immelezwa kuwa watu wenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa wa kifua kikuu(TB)  ni pamoja na wale wanaoishi katika makazi duni, Watoto, Wavuvi na  wanafunzi wanaoishi bweni. Serikali imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau katika sekta zote ili kudhibiti na kutokomeza ugonjwa…