Radio Tadio
ramli
25 January 2024, 16:23
Wapiga ramli chonganishi kukamatwa Kigoma
Wakuu wa Wilaya za Buhigwe na Kigoma wameagiza kukamatwa mara moja watu wote wanaojihusisha na Ramli Chonganishi maarufu kama Kamchape au Rambaramba, Wanaodaiwa Kupiga Ramli za chonganishi kwenye jamii. Mwanahabari Wetu Kadisilaus Ezekiel Anaripoti zaidi.