
Radio Tadio
5 October 2022, 2:06 pm
Na ;Victor Chigwada. Licha ya kufunguliwa akaunti za Benki kwa ajili ya kulipwa Posho ,bado hakuna hatua iliyochukuliwa kwa ajili ya utekelezaji wa malipo hayo kwa Wenyeviti wa Mitaa na Vijiji. Wenyeviti wa mitaa,vijiji na vitongoji ni miongoni mwa viongozi…
20 October 2021, 12:08 pm
Na; Selemani Kodima. Waziri wa Kilimo Mh. Prof Adolf Mkenda ameendelea na Ziara yake nchini Burundia ambapo amefanya mazungumzo na Menejimenti ya kiwanda cha Mbolea cha FOMI ambacho kupitia kampuni yake ya ITRACOM imeanza ujenzi wa kiwanda cha mbolea Jijini…