
Radio Tadio
12 May 2023, 1:18 pm
Tukio hilo la utiaji Saini limefanyika katika ofisi za baraza la Taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi zilizopo eneo la Nzuguni jijini Dodoma. Na Fred Cheti. Baraza la Taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC) pamoja na Bodi ya wakala wa uwezeshaji…