
Mtandao

11 February 2025, 5:14 pm
Wananchi Kiteto wataka bajeti itatue changamoto za afya, elimu
Rasimu hii ya Bajeti imepitishwa kutumika Elfu Mbili na ishirini na Tano (2025) ishirini na Sita(2026). Na Kitana Hamis.Wananchi wilayani Kiteto wameishauri Bajeti ya zaidi ya shilingi billioni 38 iliyopitishwa na Baraza la madiwani itatue changamoto zinazo wakabili katika sekta…

23 April 2024, 6:48 pm
Waziri Dkt. Jafo awasilisha bajeti 2024/25 leo
Hivyo, Waziri Dkt. Jafo ameliomba Bunge liidhinishe jumla ya shilingi 62,686,762,000 kwa ajili ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/25. Na Mariam Kasawa.Ofisi ya Makamu wa Rais inaandaa Mfumo wa Kieletroniki wa Uratibu wa…

23 February 2023, 5:13 pm
e- GA kuimarisha mtandao kwa miaka 10 ijayo
Mamlaka ya Serikali Mtandao ina mpango wa kuhakikisha inajenga Serikali ya Kidijiti Katika kipindi cha miaka 10 ijayo. Na Mindi Joseph. Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) imesema Katika kipindi cha miaka 10 ijayo itahakikisha huduma za mtandao maeneo yote zinapatikana.…