
Radio Tadio
8 February 2023, 2:42 pm
Watumishi wa idara ya Afya wilayani Kongwa wametakiwa kutoa huduma bora kwa wananchi zinazoendana na ubora wa miundombinu. Na Bernad Magawa. Donald Mejiti mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi Taifa kutoka mkoa wa Dodoma ameyasema hayo alipotembelea wilayani…
21 April 2022, 3:57 pm
Na; Mariam Matundu. Kanisa la FPCT jimbo la Dodoma kupitia mradi wake wa elimu jumuishi limefanikiwa kujenga kituo cha upimaji kwa watoto wenye ulemavu ikiwemo kwa watoto viziwi . Jane Mgidange ni mratibu wa mradi huo amesema hatua hizo zilifikiwa…