
Radio Tadio
8 February 2023, 3:23 pm
Mkuu wa wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma Mheshimiwa Godwin Gondwe ameagiza miradi yote ya maendeleo wilayani humo kuanza kutekelezwa kwa wakati huku akisisitiza miradi hiyo kuendana na thamani ya fedha iliyotolewa na serikali. Na. Benard Magawa. Mheshiwa Gondwe ameyasema hayo…
22 April 2022, 2:07 pm
Na; Shani Nicolous. Mara baada ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu jiwe la Ruby lililopo Dubai Wizara ya madini imesema inafanya utafiti na kutoa majibu sahihi namna taifa litanfaika na jiwe hilo. Akizungumza bungeni Naibu waziri wa madini Mh.Dr. Steven Kiruswa…