Radio Tadio
figo
17 May 2022, 2:11 pm
Asilimia kumi ya Watu duniani wanaishi na magonjwa sugu ya figo
Na;Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa Shinikizo la juu la damu pamoja na kisukari ni vyanzo vya figo kushingwa kufanya kazi na kusababisha kusambaa kwa sumu mwilini endapo mgonjwa asipopata matibabu kwa wakati. Akizungumza na kituo hiki Daktari bingwa wa Magonjwa ya…
17 August 2021, 11:19 am
Nchi za Afrika zimeshauriwa kuwa na umoja ili kuepuka machafuko
Na; Benard Filbert. Kufuatia machafuko makubwa katika nchi ya Afghanistan kati ya vikosi vya wanamgambo wa Taliban dhidi ya serikali, nchi za afrika zimeshauriwa kuwa na umoja ili kuepusha kujitokeza kwa hali kama hiyo. Hayo yameelezwa na mhadhiri na mchambuzi…